Matibabu Ya Bure

12 Dec 08:00 - 16 Dec 16:00 12 Dec 08:00 - 16 Dec 16:00 - Lamu Lamu
Riyadha Mosque & Islamic Center,Lamu - Kenya Riyadha Mosque & Islamic Center,Lamu - Kenya
Kamati andalizi ya Matibabu ya Bure ya Riyadha ikishirikiana na Hospital kuu ya County ya Lamu inawatangazia Matibabu ya Bure katika Sherehe za kuadhimisha Mazazi ya Mtumi...   More info

Ufunguzi Wa Maktaba(Public Library) Mpya

14 Dec 10:30 - 12:30 14 Dec 10:30 - 12:30 - Lamu Lamu
Riyadha Mosque & Islamic Center,Lamu - Kenya Riyadha Mosque & Islamic Center,Lamu - Kenya
Ufunguzi wa maktaba (Public Library) mpya ambayo ina idadi kubwa ya vitabu na computers,maktaba hii imelenga kusaidia wanafunzi wa Riyadha na muislamu yoyote atakae kuja kufaidika...   More info

Musabaqatul Qur'an

15 Dec 20:00 - 23:00 15 Dec 20:00 - 23:00 - Lamu Lamu
Riyadha Mosque & Islamic Center,Lamu - Kenya Riyadha Mosque & Islamic Center,Lamu - Kenya
Musabaqatul Qur'an. Mashindano ya kuhifadhi Qur'an yataanza siku ya Jumanne Tarehe 12 December. Washariki wataanza kusikilizwa kwa mpangilio wa juzuu zifuatazo : Juzuu 5 Juzuu 10...   More info

© 2017 Siguez